Angalia Historia Yako
Ingiza namba yako ya simu uliyotumia kuagiza ili uone historia ya oda zako.
Historia yako itahifadhiwa kwenye kifaa hiki kwa matumizi ya baadaye.
Chagua kategoria ili uone bidhaa zote kwa urahisi.
Safi & Zilizoteuliwa
Ndani ya Saa 1 - 3
STK Push & Lipa Namba
Msaada Masaa 24/7
Chagua kifurushi kilichojaa mchanganyiko murua uliopendekezwa na wataalamu wetu.
Chagua bidhaa unazohitaji. Kima cha chini ni Tsh 10,000/=
Hujachagua bidhaa yoyote bado.
Fahamu zaidi kuhusu GENGE ONLINE DELIVERY na dhumuni letu.
GENGE ONLINE DELIVERY ni suluhisho lako namba moja kwa mahitaji ya chakula na bidhaa za nyumbani. Tumejikita katika kuhakikisha unapata bidhaa safi, bora na kwa wakati muafaka bila kutoka ndani ya nyumba yako.
Tunashirikiana moja kwa moja na wakulima na wauzaji bora ili kuhakikisha matunda, mbogamboga, nyama, na nafaka tunazokuletea ni zenye kiwango cha juu kabisa. Tofauti yetu ni usafi, uharaka, na uhakika.
Tuko hapa kukuhudumia. Wasiliana nasi kwa njia yoyote kati ya hizi.
+255 799 689 961
Bonyeza hapa kutuma ujumbe WhatsApp.
Jirani na Uwata Primary School, Madale
Bonyeza hapa kuona ramani ya ofisi zetu.
Gengeonlinetz@gmail.com
Bonyeza hapa kututumia barua pepe.
Soma vigezo vyote vya huduma
Bonyeza hapa kusoma vigezo & masharti.
Tafadhali soma vigezo na masharti ya Genge Online Delivery kabla ya kuagiza.
Kima cha chini cha kifurushi chako binafsi ni Tsh 10,000/=. Mteja atoe namba na eneo sahihi.
Ufikishaji ni ndani ya masaa 1 - 3 kutoka Madale (jirani na Uwata Primary School), Dar es Salaam.
Malipo kwa Lipa Namba 43372850, STK Push, au Cash on Delivery (Fedha Taslimu).
Kagua mzigo wako mbele ya Rider. Bidhaa iliyoharibika itabadilishwa au kurejeshewa fedha mara moja.